Share 'Mzee ambaka mtoto wa miaka 12 na kujitosa baharini kuepuka mkono wa dola'
Kamishna wa polisi Zanzibar, Musa Ali Musa
Na Mohamded Mhina wa Jeshi la Polisi, Zanzibar
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 55, mkazi wa Kijiji cha Kidutani Gando mkoa wa Kaskazini Pemba ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 na baadaye kujitosa bahari kukwepa mkono wa dola.
Mzee huyo Muslih Mserembe, alikamatwa na wananchi waliokuwa wamekizingira kib…