Share 'Bajeti ya bilioni 11.1 yapitishwa kukamilisha maziko ya Mandela'
Bendera zikipepea nusu mlingoti mbele ya Bunge huku Cape Town Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mzee Mandela.
Bajeti ya Land 72 millioni ambazo ni sawa na sh. 11.1 bilioni za Kitanzania zimepitishwa na Baraza la jiji la Cape Town kwaajili ya maandalizi na kukamilisha zoezi zima la maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela aliyefariki wiki iliyopita.
Soma zaidi
&nb…