Share 'Gari lakamatwa likiwa limebeba maiti yenye dawa za kulevya'
Kutoka Morogoro taarifa ni kwamba jeshi la polisi la mkoa huo limefanikiwa kukamata gari ndogo aina ya Spacio likiwa na mwili wa marehemu ambapo zoezi hilo limefanikiwa baada ya taarifa kutoka kwa wasamariawema.
Kamanda wa polisi mkoani mbeya Faustine Shilogile amesema walipata taarifa za kuwepo kwa gari hilo ambalo lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar.
Polisi wa mkoa wa Morogoro waliweka mt…