Share 'Tulonge yakabidhi zawadi ya viatu kwa watoto wa kituo cha watoto yatima Kigamboni (KCC)'
Ile zawadi ya viatu kwa kwa kituo cha watoto yatima Kigamboni (KCC) imekabidhiwa jana (23/01/2012). Zawadi hii imepatikana kutokana na michango ya wadau wa tulonge kwa watoto yatima ambayo imekua ikitolewa tangu lilipoanzishwa kundi la kuchangia watoto yatima hapa tulonge. Bofya hapa kuona wadau waliochangia.
Uamuzi huu wa kununua viatu kwa watoto yatima wa Kigamboni umechukuliwa baada kujadiliwa…