Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Kwaresma njema wadau. Tuutumie wakati huu kumuomba Mwenyezi Mungu atusamehe makosa yetu na atuzidishie baraka tele katika maisha yetu.
Amen.
You can share this discussion in two ways…
Share this link:
Send it with your computer's email program: Email this