Share 'NIN NANI MWENYE MAKOSA KATI YA HAWA?'
Kumezuka mtindo wa wanawake wengi ambao hawajaolewa kulalamika kutelekezewa watoto na wanaume waliowazalisha/ waliowatia mimba, Je nani mwenye makosa hapo, ni mwanake alibeba ujauzito, au ni mwanaume aliyetia mimba?