Share 'Hadithi! hadithi: Hadith njoo, uongo njoo utamu kolea'
JAMAA1 alienda kumnunulia MPENZI wake keki ya birthday, kanunua mwenyewe ya sh elf15 akapanda daladala kaishikilia isiharibiwe, mala akashuka ki2oni akatembea kwa umakin asijikwae keki ikaanguka.
Wakat anafika eneo la 2kio na Range ikawa inapaki nje, bana we! akashuka mkaka very smart(WA RANGE) mh na vijana wawil wakashusha keki ya chocolate ina ngazi3 na zingine2 za pembeni,
JAMAA akajipa moyo…