Mmasai kaibiwa simu disko, mara akazimisha mziki ghafla!! Akatangaza aloiba simu arudishe lasi hivyo NITAFANYA KAMA MWAKA JANA, kibaka kwa hofu akarudisha ile simu. Watu wakamuuliza Mmasai mwaka jana ulifanya nini? Mmasai akajibu.. NILINUNUA SIMU NYINGINE MPYA. Kibaka akasema "Shit."