Share 'HALI TETE TULONAYO.'
Hivi hii hali ya ukimya iliyotawala ya kuvunjwa na kusukwa upya kwa baraza la Mawaziri tunaionaje? Je sisi Wa-Tz tunahoji au tunachukua hatua gani juu ya ufisadi wa raslimali hizo zilizofujwa na hao Mawaziri? Nadhani sasa ni wakati mwafaka wa kutafuta suluhu ya jambo hili. Kwenu wadau....