Share 'Mauaji haya yanaashiria nini?'
Kumekuwa na mwenendo usio wa kawaida kwa mambo ya kisiasa kwa mauaji yanayoendelea. Nayaita ya kisiasa kwani yamekuwa yakitokea katika nyakati na vipindi vya siasa na chaguzi ndogo za majimbo na kata. hii inaashiria nini? na kwanini ni wanachama wa chadema tu? Je nani anahusika?