Share 'UNYANYAPAA NA KUTENGWA KWA WENYE UKIMWI'
Kunyanyapaa na kutenga imegundulika kuwa ni suala la dunia nzima linatokea kila sehemu duniani kote.Unyanyapaa unaongezeka na kuwa suala nyeti sana katika ugumu wa kusema juu ya UKIMWI.Hata hivyo kwa mtazamo wangu finyu naona kuzungumzia unyanyapaa na kutengwa kwa waishio na ukimwi ni njia moja wapo ya kupambana na kupunguza madhara ya UKIMWI.
Katika kuona umuhimu wa kuzuia unyanyapaa na kutengw…