Katika ndege walikuwa wakisafiri Cindy Crawford, Claudia Schifer na Naomi Campbel!
Muda si mrefu Pilot akatangaza kwamba ndege iko katika hali mbaya na watatua katika kiwanja kilicho karibu.
Kusikia hivyo Claudia Schifer akachukua lip stick na kuanza kujiremba,
Cindy akamuuliza Claudia kwanini unajiremba wakati wowote ndege itaanguka, CLaudia akamjibu.....endapo ndege ikiangua ntakuwa wa kwan…