MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi ushavunja uaminifu wako wa ndoa mara ngapi?
MKE:"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake"
MUME:"Mmmh...sio mbaya"
MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa operation ikawa hakuna pesa ikabidi nilale na dokta ili utibiwe"
MUME:"Kweli unanijali mke wangu"
MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati ulipokuwa unaomba kura za ubunge,ikabidi nitembee n…