Share 'we nikatikie 2 !!'
NASIKIA SIKU IZI UNAKATIKA SANA WEWE,NI JANA TU NIMESIKIA UMEMKATIKIA BOSS WANGU OFISINI ,NA LEO UMEMKATIKIA MUUZA BAR ,NA USIKU HUU UMENIKATIKIA MIMI CHUMBANI DUUUUUU! HUU UMEME WA TANESCO JAMANI, KAZI KUKATIKA TU !.
Na Chalii_a.k.a_ILYA