Share 'Huyu Padre balaa...'
Mzee wa kanisa anamlalamikia Padre: "Father, mke wangu hajui mapenzi kabisa. Nitamwacha, haki ya nani tena!".
Padre kwa uhakika akajibu: Si afadhali mkeo anajua kidogo, mke wa mpiga kinanda ndo hajui kitu. Mke wa Petro yule mzee wa kanisa na tako lake kubwa ndo bure kabisa anazidiwa hata na Sista Tuli. Yani humu kanisani mwenye nafuu ni mkeo na Agnes yule mwalimu wa Sunday School.