Share 'shekhe na zawadi toka oman'
shekhe aliletewa zawadi ya pensi toka oman, alipendelea sana kuivaa na kanzu wakati wa swala, sasa ilitokea siku moja shekhe alichelewa swala ya ijumaa, Akavaa kanzu fasta nakusahau kuvaa pensi sasa wakati akitia udhu ( kunawa kabla kuingia msikitini) alipandisha kanzu juu chapchap na makalio yote yakawa nje bila kujua. waumini wakamuuliza kwa mshangao vipi tena maalim..!!? shekhe akajibu "MNA…