Share 'KISA CHA KWELI....SOMA UPATE MAFUNZO MAKUBWA.....'
KISA CHA KWELI....SOMA UPATE MAFUNZO MAKUBWA..... USIKU WA HAMU.................. Kijana mmoja mzuri mwenye nafasi nzuri ya maisha, aliamua kuoa. Hivyo alipata mchumba mwenye nisabu yake. Alifanya matayrisho mazuri ya harusi yake. Kwa... vile alikuwa na uwezo basi harusi yake ilifana na kupendeza mno. Pia ilisifika na ikawa ikizungumziwa huku na kule. Baada ya harusi kumalizika, wana harusi haw…