Share 'TULONGE FUNGA/FUNGUA MWAKA PARTY.'
Habari za wote!
Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia…