Share 'HABARI NJEMA WAPENDWA WA TULONGE.'
Wapendwa wa tulonge mke wangu amejifungua trh 29 november amejifungua mtoto wa kiume, amejifungua salama mama anaendelea vizuri na mtoto anaendelea uzuru kabisa. sijaweka picha kwa sababu tangu mtoto azaliwe sijafika kwa sababu nipo bize mno. ila christmas nitaenda kumuangalia mpendwa wangu.