Share 'Nilipofikia kuhusu kumuunganisha mdau wa Tulonge 'Grace Kamonga' na Mwananchi Communication Ltd ili aweze kutoa msaada wa kumtunza na kumsomesha mtoto wa binti mlemavu'
Asha Musa (katikati) akiwa na bibiu yake na mtoto wake. (Picha na Shakira Nyerere,mwananchi)
Siku ya tarehe 20 Jan 2013 tovuti ya www.mwananchi.co.tz ilitoa habari ya msichana mwenye ulemavu wa viongo vya mwili karibu vyote ambaye alibakwa. Binti huyo analelewa na bibi yake na ana mtoto mmoja wa kiume(6) ambaye pia alimpata baada ya kubakwa siku za nyuma.Bofya hapa kusoma zaidi.
Habari hiyo nil…