Share 'Nini kifanyike kwa kiasi cha fedha kilichopatikana kwa ajili ya watoto yatima kipindi hiki?'
Hadi sasa mfuko wa watoto yatima una Tsh. 200,000/=, naona uchangiaji unasuasua sana.Nini kifanyike kwa kiasi kilichopatikana kwa ajili ya watoto yatima? Zitumike kwa watoto yatima wa kituo gani? Toa wazo lako.
Bofya hapa kuona kiasi kilichochangwa.
Bofya hapa kujiunga na kundi la Mfuko wa watoto yatima