Dogo katumwa magazeti na Dingi
Alipoyafikisha nyumbani akayaweka kwenye friji
BABA,wewe dogo magazeti yapo wapi
DOGO,yapo kwenye friji
BABA,hivi wewe una akili,kwanini umeyaweka kwenye friji
DOGO,Baba nataka yapoe maana yameandikwa HABARI MOTOMOTO
You can share this discussion in two ways…
Share this link:
Send it with your computer's email program: Email this