Share 'Una kipi cha kusema juu ya serikali ya TZ kuhusu milipuko ya mabomu kwa mara ya pili?'
Siku chache zimepita toka milipuko ya mabomu kutokea katika kambi ya jeshi Gongo la Mboto.Hii ni mara ya pili kwa tukio kama hili kutokea baada ya lile la mwaka 2009 huko Mbagala.
Mimi nilidhani lile tukio la Mbagala lingekuwa ni fundisho tosha na kuifanya serikali yetu kuwa makini sana na uhifadhi wa mabomu ili yasilipuke tena. Hata kama ilikuwa ni lazima yalipuke,tahadhari zingechukuliwa ili ja…