Share 'Mambo ya kuepuka baada ya kuchumbiwa'
Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda kuanza maisha mapya.
Yapo mengi lakini nitagusia matano ambayo kwa utafiti wangu ndiyo yamekuwa yakiwafanya wengi wakimbiwe na wachumba wao na kuachwa wakilia.
Mazoea na wanaume
Wapo ambao wamejikuta wakiachwa solemba kufuatia tabia zao za kuwa na mazoea ya k…