Share 'HIVI WAAFRIKA HATUWEZI KUJIENDESHA BILA WAZUNGU?'
Nauliza pole-pole kama Sagatti---Ni swali moja tu lina maneno sita tu. Kuwa: HIVI WAAFRIKA HATUWEZI KUJIENDESHA BILA WAZUNGU?
Nauliza hivyo kwa sababu ya misaada ambayo kila siku tumekuwa tukipewa, na misaada hiyo imekuwa inakuja sambamba na masharti magumu sana. Wengine wanapanda ndege ndege kwenda Amerika (USA) eti kufuata msaada wa vyandarua vya Mil. 90.
Ni hayo tu Waungwana.