TFF na ligi ya Tanzania
hivi TFF wanatakiwa kuongoza vipi ili ligi zetu Tanzania kuanzia za mtaani hadi ligi kuu na timu ya Taifa zifanye vyema?
Tuwasaidie mawazo au tuchague viongozi wapya, huku hakuna kuhama chama hivyo tupeane mawazo jamani
You can share this discussion in two ways…
Share this link:
Send it with your computer's email program: Email this