Share 'Michango ya harusi INANIKERA kweliiiiiiii.'
Michango ya harusi ni moja kati ya vitu VINAVYONICHEFUA katika maisha yangu kwa sasa. Imekuwa ni kitu cha kawaida kwa watu kuchangisha wenzao pindi wanapotaka kuoa.Kwa nini usumbue wenzako kwa kutoa hela ambayo hawajapangia kwa starehe yako binafsi? Kwani ni lazima kafanya sherehe kubwa,unatakiwa ufanye sherehe unayoweza kuigharamikia mwenyewe bila kisumbua mtu then alika watu wachache tu.
Hapo h…