Share 'MIAKA MITANO YA SERIKALI YA KIKWETE,NINI MAONI YAKO?'
Wote tumeshuhudia utawala wa Serikali ya Kikwete kwa kipindi cha miaka mitano. Una lipi la kuchangia? Unadhani aliyoyafanya yatamuwezesha kupata uraisi kwa kipindi kingine cha miaka mitano?