Share 'Jamani naomba takwimu za mauzo ya "kitimoto" kwa kipindi cha mwezi huu.Nipo kwenye research.'
Naomba uniambie mauzo ya kitimoto mitaa unayoifahamu kama yameongezeka au kupungua kwa kuangalia mahudhurio ya watu sehemu hizo au sababu nyingine.
-Kama mauzo yamepungua andika "YAMEPUNGUA", kama yameongezeka andika "YAMEONGEZEKA"