Share 'Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichagga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi.'
Kinatoa kozi zifuatazo:
1. Ulevi - Mwezi mmoja 2. Ujambazi - Miezi sita
3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja
4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili
5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo)
6. Kuuza duka - Miezi mitatu; (hardware)
7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani - Miezi minne
8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa - Miaka miwili
9. Kufuga ng'ombe - Mwaka mmo…