Share 'TULONGE FUNGA MWAKA PARTY'
Habari wapendwa!
Wakubwa shikamoni (japokuwa sipendi kusema "shikamoo"-ila kwa leo si mbaya), Wadogo zangu kama Dismas, na Angela inabidi mniamkie mimi kaka yenu. Vinginevyo nitawachukulia hatua za kimila.
Nimekuwa na wazo ambalo nimeona si vibaya kulileta kwenu, kwani bila ya nyie hakuna litakalowezekana juu ya wazo langu hili.
The thing is! Oh sorry, ngoja niongee Swahili, swala lenyewe ni kwam…