Add a Comment
NAKUJA TWENDE WOTE HATA SIKUBALI LOL
thanks dada agnes.
uko juu Mumy
Hivyo hivyo Mary, usiwaambie kabisa kuwa mimi ndiyo huwa nakupiga hizo picha teh teh
ha haaa,Gratious acha fujo bana,nakutakia 9dec.njema.
Hehehehee... Gratious na wewe huchezi mbali ....
Haya ngoja nipotezee chaliangu.. hahahaa
Mnakonyezana wenyewe huko...mara chaliii yangu......sasa mbona umenisahau mimi chokoraa?....au kwa sababu nimeguna?
ha haaaa,dixon sasa .....................na hilo swali.potezea bana chalianguu.
maana sasa unataka niletea kesi.ha haa.
asante kunambi,nipo kaka yangu.
mizunguko tuu ya maisha ndio maana sometyms nakuwa kimya.
ila mambo shwari mungu anasaidia.
Mhhhhhhhh
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge