Add a Comment
Mama yoyoo ndaghwenya? mimi sidai ila nashindwa andikia wewe baruwa kwasababu inahamahama na ng'mbe efeledei, mimi kasi yangu nalinda vitasa juwa ya salidama inachoma kama pasi nataka kwenda sansiba ila siamini gari ya kwenye maji yawesa sama chini bora simba ale mimi sio samaki jamani.
so nice pic iko kihalisia kabisaa yaani inanikumbusha Tanga kijijini kwetu nikirudi kama kawaida naenda kuchunga ng'ombe na kukamuwa maziwa.
nayapendaga sana haya mazingira,
Kwetu kunawarembo we acha tuu
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge