Tulonge

na maendeleo

Views: 121

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jorge Novati Rutenge on October 4, 2010 at 19:19
@Msami, asante sana kaka kwa uhamasishaji wako. Watanzania wanahitaji kukumbushwa mara kwa mara juu ya nini waangalie wakati wa kuchagua kiongozi.
Comment by Bonielly on October 4, 2010 at 10:48
sera kilasiku haziishi, ila ninachongalia ni nani kafanya vizuri katika utendaji wake wa kazi huko nyuma hata kama alikuwa diwani mpaka kugombania nafasi ya juu, lakni tukichagua majina wakati mtu hata familia yako hauiongozi vyema wewe sio kiangozi kiongazi anaanzia alikotoka, sio mtu anakua na nyumba ndogo kibao hawezi kuongoza familia huyo, hana upendo na waliomzunguuka huyo hafahi, anapotaka uongozi wa juu anajifanya kuleta maneno matamu kupita hata asali anajifanya kuwa karibu na watu ili apate nafasi, wapiga kura kuweni makini kidogo, kiongozi anaehitajika ni kiongozi bora sio bora kiongozi, ni kwa amani tu,
Comment by Jorge Novati Rutenge on September 18, 2010 at 20:19
@Dismas, hahahaaaa... tena ukome sana.
@Moreen, mimi sirudi nyuma wangu, niko imara.
@Alfan, Daaah... sasa nitakusaidiaje ndugu yangu. Basi msaada mkubwa ni kukuambia chagua CHADEMA ngazi zote.
Comment by Alfan Mlali on September 18, 2010 at 14:35
Tatizo mm ni mvivu sana wa kusikiliza kampeni!
Comment by Moreen on September 18, 2010 at 0:23
Dismas mchokozi wewe, ww komaa na chadema yako kaka Jorge
Comment by Tulonge on September 17, 2010 at 20:59
Unajickiaje ukisikia CCM juu? hahhaaa
Comment by Jorge Novati Rutenge on September 17, 2010 at 19:15
@Alfan, tafuta hotuba za wagombea, soma magazeti, soma ilani za vyama na usikilize sera za kila mgombea na utajua ni nani anafaa kuwa kiongozi wako kwa miaka mitano ijayo.
Comment by Alfan Mlali on September 17, 2010 at 18:21
Mi sijielewi niko upande gani, naomba unishawishi nijiunge nawewe!
Comment by Jorge Novati Rutenge on September 14, 2010 at 9:04
Karibu tupige campaign Mtemi.
Comment by Mtemi on September 14, 2010 at 4:09
Dah now talking my broo

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*