Tulonge

Sometimes it's best to let the facts speak for themselves.

Views: 226

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by chaoga on January 10, 2014 at 15:36

MAMA UCHANGIAJI WAKO HOJA HII UMENIKUNA SANA, EDDIE POLE SANA MKUU HIO NDIO AFRICA NA WATU WAKE.

Comment by Mama Malaika on January 10, 2014 at 6:54
Kaka Eddie pole sana. Hata hapa London hadithi ni hizo hizo, unaenda Balozini kufatilia, ukifika unapigwa tarehe, na kuna hatari ukamaliza mwaka mzima wafuatilia passport, mie nilikoma. Na kibaya zaidi ukifika ubalozini unakuta waswahili wamenuna hao. Baba Malaika na watoto passports zao (British passports) zilishapotea kwenye kuomba visa, siku hizi aombea visa Dar (JK Nyerere International Airport)
Kasumba ya ubabaishaji kazini, rushwa, kupeana kazi kwa kujuana na ukabila ndio vinatia sifa mbaya balozi zetu
Comment by eddie on January 10, 2014 at 0:40

Du! Na ukiambiwa kwamba Africa ni bara tajiri ( Natural resourse ) sana huwezi kuamini ukiangalia statistic hii!

Nakwambia inaudhi sana, nkiwapa mfano nilipiga simu ubalozini(nitaficha jina) kwa ajili ya mambo ya passport. Naambiwa muhusika ameenda kula. Baadaye nilipopiga tena akaniambia kwamba swala langu atafikiria sasa hivi hana jibu nimpigie kesho yake.....tutaendelea kweli hivi!

Comment by Mama Malaika on January 9, 2014 at 23:18
Hiyo ina ukweli. Africa watu wengi ni wababaishaji, wachapa kazi si wengi kama enzi za wazee na babu zetu. Botswana kukuta nfanyakazi kipindi cha lunch anakunywa pombe kilabuni ni kitu cha kawaida, jirani zetu Zambia nao vivyo hivyo. Tanzania kwenye offices hasa za sirikali wakuta watu wanaochapa kazi ni wachache, wengi wamo kwa office ili mradi siku ziishe wapate mishahara. Africa kusini wachapakazi wengi wageni ambao wameenda kutafuta maisha, wenyeji ni walevi na wavivu. Yaani Africa sijui niseme je? Wenzetu US kazi ni kazi iwe kwa sirikali, kiwandani au mfagiaji chooni wote wanapiga mzigo ingawa wakuta wana lalamika mishahara na maisha.
Comment by Mama Malaika on January 9, 2014 at 23:10
Ila ukija kwenye posho za wana siasa, Africa itaongoza maana kwenye takwimu Nigeria ndio nchi inayoongoza, senators (wabunge) wa huko Nigeria wanapata pesa nyingi (in terms of US dollars) kuzidi wenzao wa US & Britain. Kazi kweli kweli...
Comment by Mama Malaika on January 9, 2014 at 23:02
Kwenye hiyo gross income, Kwa haraka haraka fikiria pesa ambayo sirikali (Tanzania) inapoteza kwenye kodi ya madini (dhahabu, almasi, n.k) toka kwa hao wawekezaji ni dollar ngapi za kimatekani kwa mwaka taifa la Tanzania linapoteza kama sio millions and millions of US dollars?? Na hapo bado ufisadi, pesa ambayo ingalau ingesaidia kuziba ziba gap kwenye Gross Income ya Africa imefichwa kwenye Swiss Bank na viongozi ambao tumewapa dhamana Africa (viongozi na wana siasa).
Tulonge hebu niambie blog yako kuhusu raisi wa Angola aliyediriki kumlipa dollar million moja za kimarikani yule Mwanamuziki Aliyetumbuiza Ikulu yake kwa dakika 120 tu. Hebu niambie kweli pesa hizo zingesaidia kusukuma Per Capita Income kwa wafanyakazi? Na africa viongozi kama yeye wako kila kona.
Comment by Tulonge on January 9, 2014 at 21:44

Mmh! kama ni kweli basi ni balaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*