Add a Comment
Hahaa.. We huchelewi kupanda toyo nusu njia.. @ Alfan.. Lo!
Hivi mimi sikuwemo kweli kwenye hizo mbio??? hahhahha hongereni wadau kwa kumaliza mi nahisi niliishia njiani nikapata lift kwenye ambulensi..
Hongera kaka.. Kumbe na wewe uliwakilisha? naona ulipiga Vodacom fun run.. Hongera sana!!!! Mi nilishiriki Half marathon!!!
Najaribu kiasi chake
Hongera mkuu, kumbe bado upo fit
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge