Tulonge

Hii inaweza sababisha vidume wengi wakataka kuwa mapolisi

Views: 397

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on October 21, 2013 at 7:41

Tulonge mdogo wangu nani arudi na mayowe ya hivo angalia isije ikakutokea wewe kwani kumbuka siku hizi wote dili mimi nina tundu zima wewe una tundu bovu shauri yako mind your mouth. ( yani wewe ni mtoto mdogo sana kwangu bora urudi huko ukujuako hapa mwisho yani namaanisha mwisho mtoto wa kaskazini mimi chezea manyara wewe utaumbuka)

Comment by manka on October 20, 2013 at 22:41
Hahaaaaa' yaani hapa nimeishia kucheka jamani, dismas huyo!
Comment by Mama Malaika on October 17, 2013 at 20:01
Ha haa haa haa haa haa haaa..... Dismas. Unaanza toa makucha, sio? Yeleuwiiiiiiii......
Comment by Tulonge on October 17, 2013 at 19:07

Nitaongea kwa vitendo muda ukifika.Mtu atarudi analia hapa. Jamani eeeeeeeee... siamini nilicho kutana nacho uwiiiiiiiiiii... kweli Dis ni balaa jamani yeleuwiiiiiiiiiiii...yani ana nguvu kama simba....mama weeeeeeeeeeee ...nawapa onyo kina dada wenzangu msije mkathubutu.

Comment by ANGELA JULIUS on October 17, 2013 at 17:53

DIS YAYUUUUU KWISHNEY POLE MDOGO WANGU KWA KUANGUKIA PUA MANAKE MAUMIVU YAKE BALAA

Comment by Mama Malaika on October 17, 2013 at 17:49
Omary hapa kazi ipo. Nimeamini amini sasa kuwa Angela ni mtoto wa mjini. Lol......
Comment by ANGELA JULIUS on October 17, 2013 at 17:49

AISEE HIZO DAMU SINA MY MAMA MALAIKA  UWIII NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA MOYO ALIONIUMBA NAO. ILA WADAU MSINIELEWE VIBAYA KUWA M ACHAME NA KIKUYU NI WATU WABAYA.

Comment by Omary on October 17, 2013 at 17:46
ndiomana nikamwambia Dis Angela hamuwezi hebu angalia hilo dau 5m wakati wataburudika wote lol. Mzee mwenzangu usinielewe vibaya ndivyo inavyoeleweka duniani kote kuwa mchezo ni burudani so najuwa huo mchezo wenu na Dis mtaburudika na kukonga nyoyo
Comment by Mama Malaika on October 17, 2013 at 17:46
Ha haaa haaa haaaa.... Una damu ya kimachame & Kikuyu nini? @ Angela
Comment by ANGELA JULIUS on October 17, 2013 at 17:27

ndo mana yake mama Malaika lol hehehehe

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*