Tulonge

Aisee 'chichiemu' inabebeshwa lawama nyingi sana

Mimi si mwana siasa, ila picha hii imenichekesha sana nikaamua niiweke hapa

Views: 220

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on October 20, 2013 at 22:32
Sasa Ccm ndiyo imemtuma kucheza kwenye vmbi? Kweli siasa lawama tuu.
Comment by Tulonge on October 13, 2013 at 9:12

Yani hii picha ilinifanya nicheke hadi mbavu zikaniuma.Yani hapo anamaanisha CCM ndo imemfanya apauke kiasi hicho teh teh teh.Siasa bana, ndomaana mimi cna chama.

Comment by Wa Kimberly on October 12, 2013 at 22:56

hahahaa  dogo kweli anaelewa maana ya ccm.te te teee eti huna hmu.

Comment by Samwel Mnubi Masatu on October 11, 2013 at 18:09
ndo maisha!
Comment by Mama Malaika on October 11, 2013 at 17:36
Inatia hasira sana mtu ukisikia hivyo. viongozi wetu huko makanisani na misikitini wanaenda sali nini? Kwa GDP ya Tanzania ilivyo ndogo, waziri mkubwa alipwa 26mil kwa mwezi, kweli jamani tutafika?
Comment by Dixon Kaishozi on October 11, 2013 at 16:04

Ndiyo hali halisi... waziri mkubwa analipwa sh mil. 26 kwa mwezi.. haina makato wala nini.. nyumba anayoishi niya serikali, bili zote.. umeme na maji zinalipwa.. chakula na wafanyakazi wanalipwa na serikali.. 

Wakati kuna watu kama huyo mtoto hawajui mlo unaofuata utakuaje!!!! ...... Siendelei.. NUKUTA!!!!

Comment by David Edson Mayanga on October 10, 2013 at 21:42

mh

Comment by Mama Malaika on October 10, 2013 at 20:06
Nikifikiria posho ya wabunge, mshahara na malupulupu yote wanayopata wabunge na mawaziri, huyu mtoto ana haki ya kusema.
Comment by ANGELA JULIUS on October 10, 2013 at 11:35

nafikili ana maanisha maisha magumu kwa sababu CCM ndo chama tawala.

Comment by habiba mustafa mlawa on October 10, 2013 at 9:25
TEH TEH SIO NACHEKA KAMA MAZURI CCM WAMEMFANYAJE SASA

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*