Add a Comment
Hahahahaa.. Umelipia mahali mkwanja wote.. sasa bado kuwalisha!! ukilega wote ulio walipia wanakukacha.. hahahahaaa
Nashukuru Mungu mkwanja wote huu nimeshaulipia mahari ya wake zangu 6. Sasa hakuna Baba Mkwe anayenidai.
Hahahahaa... Najua UMENIEREWA!!!
Yeah kwa hilo kweli ila Angela sio madafu hayo ni mnyamwezi m2 wangu na kama kafungwa kweli 100 100 isee ukizimaliza bila kufanya cha maana na ukarudi chini tena bora uombe kifo maana utaishi maisha mabaya kuliko ya mwanzo hiyo pesa ni nyingi japo ndio hanasa zipo nyingi zinaweza kuisha.
OMARY BEST YANGU HIZO PESA HAPO KIUKWELI UKIZIENDEA VIBAYA ZITAKUTOKEA PUANI NA WALA SIYO NYINGI UKISHAZIINGIZA KWENYE MATUMIZI YA HAPA KWENYE DUNIA YETU KIUKWELI MAISHA YA SASA USIPOWEKA HESHIMA KWENYE PESA MAMBO YANAKUWA SI MAMBO.
sio madafu
Teh teh teh mmepinda nyie. Dixon naona unauthibitisha uhaya wako.Full kujisifia teh teh eh
Jamani huu mkwanja sio wakitoto yaani ikitokea Dis unazimiliki hizi utatumia wewe na mpaka wajukuu watazikuta nao watatumia.
vijisent vyako hv unatupa tabu kweli kweli
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge