Tulonge

Views: 159

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on July 24, 2012 at 17:03

ha ha ha Tawonga mimi wala siyo Ethiopian ila nimefanana nao sana, kuna siku nilikuwa safarini in ethiopian airline nashangaa wale workers wakiniangalia sana kumbe kuna mwenzao mmoja nimefanana naye so wakati tunaland ndo aliyekuja kupokea ndege yetu mwenyewe hadi nilishtuka naye pia alishtuka nikaona wenzake wanacheka nikajua what is the meaning ya kuniangalia vile. mimi ni mtanzania ila siyo mbantu ha ha ha

Comment by Georgia Mushashu on February 16, 2012 at 12:24

Ur welcome mumy

Comment by ANGELA JULIUS on February 16, 2012 at 12:12

THANKS BEST YANGU GEORGIA

Comment by Georgia Mushashu on February 16, 2012 at 12:06

You look mwaaaaa

Comment by Gratious Kimberly on July 19, 2011 at 16:28
Haaaaaaaaaa...sasa huyo wa juu ndo amekaa gadi 24/7.  hakuna kunyemelea!  Teh teh. Thanx
Comment by ANGELA JULIUS on July 19, 2011 at 15:44
DUUU KIMBERLY NASHUKURU SANA HAWA PAKA NIMEWAPENDA ILA HUYO WA JUU LOL HAJATULIA KABISA
Comment by ANGELA JULIUS on July 19, 2011 at 15:43
KUNAMBI JR UMENIVUNJA MBAVU, NASUBILI WEWE NDO USEME ILA MIMI SIWEZI KUSEMA CHOCHOTE
Comment by KUNAMBI Jr on July 19, 2011 at 10:57
unaonyesha u mkarimu sana,ni kweli?
Comment by Gratious Kimberly on July 18, 2011 at 17:45
Kweli uliposema uchizi hujakosea...maana naona paka ameanza kudata  ila fahamu hapotezi.You look Mwaaaa.  Kilichopo hapa paka na uchizi wake anaweka Doria  24 seven..mtu akisogelea gate tu anatunguliwa....Teh..hhahahaaaaaaa..!Usicheke...Ebo!!
Comment by Severin on July 16, 2011 at 21:29
Ulikuwa na afya nzuri kweli, mtoto mzuri sana wewe.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*