Tulonge

Askari wengine sijui wana nini vichwani?

Views: 205

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dunda on May 1, 2013 at 21:25

Mitaa hiyo hakuna nyani laiti wangekuwepo jibu lilishatokea kabla ya

Comment by Agnes Nyakunga on April 9, 2013 at 10:57

hiyo itakuwa ushuzi bunduki!

Comment by jackline myavilwa on April 9, 2013 at 1:09

dah kitu kikilipuka hapo bas tena

Comment by Regina Lipyana Haule on April 8, 2013 at 14:35

hilo pozi katika mawindo likilipuka itaitwa ajari kazini

Comment by Mjata Daffa on April 8, 2013 at 9:12

hawa jeshini tunawaita NANGA, huu ni mlipuko hutakiwi kujiamini kiasi hiki. kinachomsumbua huyu ni uvivu, na uzembe.

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 6, 2013 at 14:19

kachoka huyu afande,misifa ya kijinga

Comment by Samwel Mnubi Masatu on April 6, 2013 at 13:34
afende huyu alishachochoka na maisha duni ya maaskar ndo maana aliitaj kujiua
Comment by Severin on April 6, 2013 at 10:45

Hajaiweka inapo takiwa, angeisogeza kushoto kidogo ili ilenge katikati halafu atokee chizi aifyatue.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*