Tulonge

Views: 214

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on August 16, 2012 at 15:41

maskini nacheka kusema mazuri lol, huyu jamaa kweli lazima kama ana mke awe analiwa nje manake huyu sijui kama anaweza lolote.

Na pia kama alivosema Bonielly kuwa haya ni matatizo sasa sijui kama ni ya kurithi au ulafi

Comment by ILYA on February 7, 2012 at 0:05

si aende haja kubwa huyu !!!

Comment by MARTHA MSHANGA on February 3, 2012 at 23:00
Huyo ndo boss,mkurugenzi,kitambi,meneja,eeee!!huyo ndo boss wengine photo copy.
Comment by Alfan Mlali on February 3, 2012 at 22:47

hahahahahah...nimesema kamchezo katamu....pool au bao hkuna utamu hapo..namaanisha yale mambo yetu yaleeeeeee....!lol

Comment by Tulonge on February 3, 2012 at 21:27

Alfan ni kamchezo gani hako unako kazungumzia? Ni pooltable,bao au karata?

Comment by Alfan Mlali on February 2, 2012 at 18:15

hahahahahahah! Huyu ni mgonjwa jamani tumuhurumie...

@Gracious kweli kabisa kale kamchezo katamu huyu hawezi hata kidogo...lol

Comment by Bonielly on February 2, 2012 at 11:32

haya ni matatizo sio raha

Comment by chaoga on February 2, 2012 at 10:56

hata kama ni mimba basi mapacha dabo....

Comment by Dixon Kaishozi on February 2, 2012 at 8:22

Hivi haoni aibu kwa hiyo shepu ?

Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on February 2, 2012 at 1:53

Duuuuhh....hapana! sasa hapa kuna raha gani ya maisha? Hata kuhema tu itakuwa ni tabu sana kwake.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*