Tulonge

Bright alipojifanya anajua kuvaa vest mwenyewe. Akatoka hv

Nilitaka nimvalishe akajifanya kugoma. Ikabidi nimuache avae mwenyewe. Akatoka nje akiwa anajiamini kuwa ataweza kuvaa mwenyewe.Baada ya dk kadhaa akarudi akiwa hivyo huku analia,maana alijinyonga balaa hahahahaaaaaa. Ujanja wote kwisha

Views: 149

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on November 4, 2010 at 23:03
Haahahahaaa mm cjamvalisha Mama,ni yy mwenyewe.
Comment by Mama Malaika on November 4, 2010 at 15:43
Dismas weye, umemvisha mwenye mtoto watu na kumpiga picha halafu unatudanganya. LOL...
Comment by silviusmarchades on November 3, 2010 at 11:42
mwana huyu dogo mwanao nini? naona ume copy then paste halafu akatokea Bright
Comment by Dunda on October 29, 2010 at 11:15
Toto tundu safi sana..lakini amejaribu hakushindwa
Comment by Dixon Kaishozi on October 29, 2010 at 9:27
hahahahaaa..... Safi sana! Bila kujaribu utajuaje? Big up sana Bright! uckubali kushindwa kirahisi rahisi.. Try an never giveup!
Comment by lilian dismas on October 28, 2010 at 21:56
hahhahahha lol poye mwaya
Comment by Mtemi on October 26, 2010 at 21:22
Halafu wewe Dismas wewe kila siku home kwa Mlali mhh haya bana au ndo ulienda muona mwanao Zahir hahha hhahha
Comment by Shally Hassan (Waridi jeusi) on October 26, 2010 at 13:02
Dismaz wacha kumuonea mtoto
Comment by Agnes Nyakunga on October 26, 2010 at 9:39
anajifunza kuvaa ataweza tu
Comment by Tulonge on October 26, 2010 at 8:04
Angalia kitambi chake,kama cha baba yake hahahaahaaa. Pamoja na huyo upara lakini anang'ang'ana kuganda kwa kichwa kwenye sakafu,sijui haumii.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*