Tulonge

Views: 107

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on February 18, 2012 at 15:36

Hapa si biashara wala nini,ni kumalizana hapo hapo,mtu kama una kikao chako unaruhusiwa ukumbi huo uko tayari,maisha mepesi yanakwenda kiteknolojia zaidi.

Comment by Agnes Nyakunga on December 13, 2011 at 12:20

him balaa sasa kunakoendea kuna kuoga nje kabisa, kwa wanaume sio inshu sana hasa pale unapo jojo kasheshe ipo pale unatakiwa kumweka mzee mzima, asikudanganye mtu chooni kuna raha yake na ndo maana pamekuwa na chumba  pekee.

Comment by Dixon Kaishozi on December 8, 2011 at 12:05

Hahahaaa.. Hiyo huduma BURE kabisa!!! hahahaaa

Comment by chaoga on December 7, 2011 at 14:18

bwana tulonge hayo ni mambo ya utandawazi...si umeona dada hapo katoka kushusha vituz

Comment by Tulonge on December 7, 2011 at 11:42

Inamaana mtu anamaliza haja zake hapo hapo kilipo? Au kipo kwaajili ya kutangaza biashara tu?

¬© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*