Tulonge

mtoto wa mama

Views: 103

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 13:23
Ha haaaaa.... Hii atapaka bila shida kwani ndio zake kipindi cha Halloween.
Comment by Tulonge on August 26, 2013 at 13:12

Hilo sharti la kwanza, yapo mengi sana. Kuna jingine la kuolewa na mwanaume mweusi tiiii kama yule binti mpakistani. Sasa Denzil cjui atajipaka mkaa ili awe mweusi teh teh teh.

Nakaka mwanaume awe na rangi kama hii

Comment by Mama Malaika on August 26, 2013 at 11:47
Ha haa haaaa.... Hiyo si shida, si unajua mwingereza akipenda? Atalima hilo shamba kwa siku 2, na kupika atakupikia wewe na Doreen wako. Teh teh teh....
Comment by Tulonge on August 25, 2013 at 20:20

Masharti yangu ya kumpata Doreen hatayaweza huyu bishoo. Najua sharti la kuwa na uwezo wa kulima shamba la ukubwa wa 10 hectares kwa jembe la mkono kwa muda wa siku 2 litamshinda Denzil. Hivyo atarudi kwao UK akiwa mpole kama askofu.

Comment by Mama Malaika on August 25, 2013 at 17:34
Ha haa haaa haaaa... Gratious! Dismas hana haja kuhangaika kwani kijana anajifunza kiswahili kwa bidii.
Comment by Gratious Kimberly on August 8, 2013 at 20:14

Haaaa, We Mama malaika Dis' atajaza kabati vitabu vya English ...ili Doreen afoke Oxford peke yake teeeeeh......Kijana atawakamata kweli hilo pozi lenyewe tosha

Comment by Mama Malaika on July 23, 2013 at 13:13
Yeye amtaka Doreen tu. Yuko tayari kuuza nyumba na shamba ili aje kwako Dismas.
Comment by Tulonge on July 23, 2013 at 7:47

HB, dogo atawakimbiza sana kina dada akikua

¬© 2019   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*