Add a Comment
Aisee.. Pole sana kaka Omary!! Hiyo inaitwa ajali.. Ingawa hata kwa gari mengi yanatokea. Kikubwa ni uzima tu ndugu yangu!!!
Dar to Tanga kwa masaa 3 na dakika 37 inakaa barabarani ikiwa na kamzigo kidogo hapo nyuma au muwe wawili hutopenda tena gari ila niliokoka kufa katika ajali 3 takatifu ajali ya mwisho ilikuwa tarehe 31/7/2007 pale njiapanda ya sayansi nikitokea bagamoyo tulipigwa mzinga mwenzangu alivunjika mbavu 3 mie nilivunjika kidole cha mguu watu waliokuja kutusaidia wakavuna cm ya mshkaji na mkwanja wakalamba men! siwezi kuisahau ile siku tunapelekwa muhimbili Dr kalewa kingwendu cha jangwani tukahamishwa Agakhan, mchizi wangu ilimchukuwa mwaka na hawezi kucheka wala kuvuta punzi ndefu Shikamoo ENDURO
Dah! hii kitu imenikumbusha Honda XR 250 ilikuwa inapasuka mpaka nawakera watu kwenye pantoni
siku moja nilienda nayo Tanga sasa nilipoiwasha bhana si nikamshtuwa mama wawatu akadondoka nilifikiri nimeuwa ila baadae aliamka akiwa amechokaa Dismas unaikumbuka?
Hii ni safi sana.. ila kwa wana apollo hasa wanapenda XLR 250... hii wanaitolea macho tu...
hiyo mashine ni noma, wanaapollo wanazipenda sana,
Hii hapa hushirikisha hasa afrika mashariki.. Mara zote sijawahi kuona washiriki tofauti na majirani zetu wa africa mashariki. Nadhani hiyo ya africa kusini ni kubwa sana kuliko hii..
aisee hii midude naipenda sana. Ila ukipata ajali kila kiungo cha mwili kinaweza gawanyika kivyake
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge