Add a Comment
Bonielly unakaribishwa sana na bodaboda yako!!! lakini jiandae kuja na fundi maana wenzio waliachiwa wapigeshow kidogo kilichofuata kila mwenye boda boda alirudi mwingine kashika tank la mafuta, mwingine plate number hakuna... taa potelea mbali.. chain kukatika... hahahahaaa uzuri hakuna aliye poteza maisha!!!!
natamani na mimi siku moja nije kushiriki na bodaboda yangu au hairuhusiwi?
Lilikua Lazama... muonekano mzuri sana.. tena nilichelewa kidogo...
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge