Add a Comment
Hahahaa.. umenikumbusha.. yani ilikuwa ikifika mda wa kuoga ni ishu sana.. umesha ruka kwenye vumbi.. mchanga kichwani kwenye nywele.. lakini ijika kuoga ni kulia eti mbona JANA NILIOGA NA LEO TENA ? KILA SIKU MIMI TU... hahahahaa
Duh enzi zile za kipindi kile
Mama enzi zetu kuoga ilikua ishu sana.Unacheza kwenye vumbi, halafu ukiitwa kuoga unalia balaa.Watoto wa siku hizi nashangaa hawaogopi kuoga.Doreen huwa anadai mwenyewe kuoga.
Dogo analia utadhani anachinjwa.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge