Tulonge

Views: 241

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on January 2, 2013 at 16:46

Sharon.. ama kweli wewe si muogeleaji maana nywele kavu hazijaloa. Haya nakuletea mwanangu aje akufundishe

Comment by KUNAMBI Jr on January 1, 2013 at 12:37

Mwalimu nipo hapa jaman nambie unataka kupiga mbizi au kama bata hehe hehe?

Comment by Lilian on January 1, 2013 at 5:03

Mrembo kama wewe unatafuta mwalimu wa kuogelea? Ngoja nikamwambie kaka yangu.

Comment by Mustafa Idd on December 31, 2012 at 23:12

KAZIKWENU BANDUGU

Comment by sharon peace on December 31, 2012 at 23:09
Omary mbona sura za uFundishaji kuogelea mbona sioni jamani naona pozi za kiofisi zaidi,
Comment by Tulonge on December 31, 2012 at 23:09

Mwalimu Omary unajinadi kweli. Hebu tulia, mimi ningehitaji mwalimu ungejinadi hivyo?

Comment by Omary on December 31, 2012 at 22:53

c mnajuwa watu kutoka Tanga jinsi tunavyjuwa kuogelea kama samaki vile yaani hapa mwanafunzi akitoka kawiva nyanja zote lol.

Comment by Omary on December 31, 2012 at 22:51

Jamani mwalimu nipo nimejitokeza kutowa mafunzo tena bureeee haya kazi kwako mwanafuni.

Comment by Tulonge on December 31, 2012 at 22:42

Usijali Sharon, muda si mrefu walimu watafika hapa kuomba kazi.Jiandae kuwafanyia interview

Comment by sharon peace on December 31, 2012 at 19:48
Best hapa mwalimu anahitajika Asap maana nimeshikilia bomba kwa hofu

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*