Add a Comment
Sharon.. ama kweli wewe si muogeleaji maana nywele kavu hazijaloa. Haya nakuletea mwanangu aje akufundishe
Mwalimu nipo hapa jaman nambie unataka kupiga mbizi au kama bata hehe hehe?
Mrembo kama wewe unatafuta mwalimu wa kuogelea? Ngoja nikamwambie kaka yangu.
KAZIKWENU BANDUGU
Mwalimu Omary unajinadi kweli. Hebu tulia, mimi ningehitaji mwalimu ungejinadi hivyo?
c mnajuwa watu kutoka Tanga jinsi tunavyjuwa kuogelea kama samaki vile yaani hapa mwanafunzi akitoka kawiva nyanja zote lol.
Jamani mwalimu nipo nimejitokeza kutowa mafunzo tena bureeee haya kazi kwako mwanafuni.
Usijali Sharon, muda si mrefu walimu watafika hapa kuomba kazi.Jiandae kuwafanyia interview
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge